Matumizi ya Mbinu ya Weusi na Uwili: Tathmini ya Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea
Basi, lengo la makala haya ni kubainisha matumizi ya mbinu ya weusi na ya uwili katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea ya Ken Walibora. Isitoshe, makala haya yataeleza dhima ya weusi na uwili katika riwaya hii.